Waganda
Mandhari

Waganda (wao hujiita Baganda) ndilo kabila kubwa la Uganda likiwa na asilimia 16.9 za wakazi wote wa nchi hiyo. Baadhi ya watu wa kabila hilo wanaishi Tanzania tangu zamani za ukoloni, katika wilaya ya Missenyi, mkoa wa Kagera.
Lugha yao inaitwa Kiganda (wao wanasema: Luganda) na ni kati ya lugha za Kibantu.
Ufalme wao (Buganda) unaongozwa na mfalme anayeitwa Kabaka na unaenea katika Mkoa mzima wa Kati. Ufalme huo ulikubali ulinzi wa Uingereza mwaka 1894 chini ya Mwanga II.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Roscoe, John (2005). The Baganda: An Account of Their Native Customs and Beliefs. Whitefish, MT: Kessinger Publishing. ISBN 978-1-4179-7538-9.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Brief description of Buganda at www.myuganda.co.ug Ilihifadhiwa 14 Aprili 2004 kwenye Wayback Machine.
- Buganda.com Ilihifadhiwa 5 Mei 2017 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waganda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |