Nenda kwa yaliyomo

Ricardo Zamora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ricardo Zamora Martínez (matamshi ya Kihispania: [riˈkaɾðo θaˈmoɾa maɾˈtineθ]; 21 Januari 1901 – 8 Septemba 1978) alikuwa mchezaji na kocha wa soka wa Uhispania.

Alikuwa akicheza kama kipa na aliwahi kuchezea klabu mbalimbali kubwa, zikiwemo RCD Espanyol, FC Barcelona na Real Madrid.

Katika ngazi ya kimataifa, aliwakilisha timu ya taifa ya Uhispania.

Akiwa kocha, alishinda mataji mawili ya La Liga akiwa na Atlético Madrid (wakati huo ikiitwa Atlético Aviación). Pia aliwahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Uhispania kwa kipindi kifupi.

Heshima na Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Akiwa Mchezaji

[hariri | hariri chanzo]

Espanyol

  • Copa del Rey: 1928–29
  • Ubingwa wa Catalonia (Catalan Champions): 1917–18, 1928–29 [1][2][3]
  1. ↑ https://www.olympedia.org/athletes/24965
  2. ↑ https://www.olympics.com/en/athletes/ricardo-zamora-martinez
  3. ↑ https://web.archive.org/web/20201129035926/https://www.olympic.org/ricardo-zamora
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ricardo Zamora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.