communion
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Noun
[hariri](Wingi; communion)
- Ni neno la Kiingereza linalomaanisha ushirika wa karibu au mawasiliano ya kina; tendo la kushiriki katika ibada ya kidini, hasa chakula cha Bwana katika Ukristo.
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili; ushirika, mawasiliano ya kina, sakramenti