Nenda kwa yaliyomo

Steven Rales

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Steven M. Rales (alizaliwa Machi 31, 1951) ni mfanyabiashara na mtayarishaji wa filamu nchini Marekani.[1]Alianzisha Danaher Corporation pamoja na kaka yake Mitchell Rales mwaka 1984 na ni mwenyekiti wake.[2] Pia alianzisha kampuni ya utayarishaji wa filamu ya Indian Paintbrush mwaka 2006. Utajiri wake ulikadiriwa na Forbes mwaka 2024 kuwa dola bilioni 8.9.

  1. ↑ "Obituary On Sunday, March 28, 2004, Ruth Rales, of Hillsboro Beach, FL and Potomac, MD". The Washington Post. Machi 30, 2004.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Washington Jewish Week: "Five local Jews make Forbes richest list" Archived Septemba 5, 2012, at the Wayback Machine October 7, 2009
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Rales kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.