Stan Anderson
Mandhari
Stanley Anderson (27 Februari 1933 – 10 Juni 2018) alikuwa mchezaji na kocha wa mpira wa miguu]] kutoka Uingereza. Ndiye mchezaji pekee kuwahi kuchezea na kuwa nahodha wa vilabu vikubwa vitatu vya eneo la Kaskazini-Mashariki mwa England, ambavyo ni Sunderland, Newcastle na Middlesbrough.
Kazi ya klabu
[hariri | hariri chanzo]Anderson alionekana kuwa angehitimisha maisha yake ya soka akiwa na Sunderland, lakini baada ya kucheza mechi 400 katika kipindi cha miaka 12, alisajiliwa na Newcastle United kwa ada ya pauni 35,000 mwezi Novemba 1963.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Maurice Golesworthy, mhr. (1965). Soccer Who's Who. The Sportsmans Book Club, London.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stan Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |