Samuel Wanjiru
Mandhari
| Rekodi za medali | ||
|---|---|---|
Samuel Wanjiru | ||
| Men's Wanariadha | ||
| Anawakilisha nchi | ||
| Michezo ya Olimpiki | ||
| Dhahabu | 2008 Beijing | Marathon |
Samuel Kamau Wanjiru (Nyahururu, 10 Novemba 1986 - 15 Mei 2011) alikuwa mwanariadha wa Kenya ambaye mbio zake maalumu zilikuwa mbio za masafa marefu akawa bingwa katika umri mdogo na kuvunja rekodi ya dunia ya nusu marathon alipokuwa na umri wa miaka 18. Mwaka 2007, alivunja rekodi ya kukimbia ya barabara ya kilomita 20 na kuboresha rekodi ya nusu marathon kwa zaidi ya sekunde ishirini.
Alihamia hadi marathoni kamili na alishinda katika Michezo ya Olimpiki ya