Jordan Spieth
Mandhari
Jordan Alexander Spieth (alizaliwa 27 Julai 1993) ni mchezaji wa gofu wa kulipwa nchini Marekani. Alizaliwa Dallas, Texas. Alishinda Masters Tournament na U.S. Open mwaka 2015, na The Open Championship mwaka 2017. Alishinda mataji 13 ya PGA Tour.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gittings, Paul (Juni 22, 2015). "U.S. Open 2015: Jordan Spieth claims back-to-back majors in dramatic finale". CNN.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jordan Spieth closes with 1-under 69 to capture FedEx Cup, $10M bonus". ESPN. Associated Press. Septemba 28, 2015.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jordan Spieth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |