Nenda kwa yaliyomo

Jean de Brunhoff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean de Brunhoff (Alizaliwa 9 Desemba 1899 -Alifariki 16 Oktoba 1937) alikuwa mwandishi na mchoraji wa Ufaransa aliyekumbukwa zaidi kwa kuunda mfululizo wa vitabu vya watoto vya Babar kuhusu tembo wa kubuni, wa kwanza ukichapishwa mwaka wa 1931[1].

  1. ↑ "Babar the elephant gets NYC museum show". USA Today. 2008-09-23. Iliwekwa mnamo 2010-08-26.