Nenda kwa yaliyomo

Ernest Simoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ernest Simoni Troshani (amezaliwa 18 Oktoba 1928) ni padri na kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Albania aliyedhulumiwa muda mrefu na serikali ya kikomunisti nchini.

Aliteuliwa na Papa Fransisko kuwa kardinali katika baraza la makardinali lililofanyika tarehe 19 Novemba 2016.[1]

  1. ↑ "Paoline Ufficio Stampa – Don Ernest Simoni". paoline.it. 9 Oktoba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Mei 2020. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.